Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

Kocha mpya wa Simba(MBUMBUMBU)hana maajabu yoyote kwenye Soka

Ulitegemea achukue La Liga Akiwa na Getafe?
Unaijua klabu ya Al Qadsia na Mpinzani wake mkuu huko Kuwait?
Kocha ana elimu nzuri, bado ni kijana, Anaweza kuwasaidia Simba kwa Elimu yake na uzoefu.
Nitajie Kocha Tanzania mwenye elimu ka Kocha huyo wa Simba.
Au kocha wa Tanzania alieyewahi kuwa hata kocha msaidizi wa timu hata ya daraja la nne ktk nchi za Ulaya hata zile ndogo Sana kisoka.
 
Huyu ESCOBER amekuja kuuza madawa ya kulevya msimbazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
atakuaje kocha Bora na wachezaji analetewa ameletewa.....kazi ipo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]you made my day mkuu
Yaani hicho ndio kimekuchekesha, na kikameki yua dei? Au kuna tatizo mahali mwilini!
 
Mnavyohangaika!!
Nchi ina shida sana ya watu kufikiri...
Kuna kocha aliwahi kutoka kufundisha Tanzania akaenda kuwa hata msaidizi wa timu yeyote ya premier league katka nchi zilizotuzidi sana kisoka huko ulaya? Kinyume chake je umejiuliza?

Anyway...makocha huja na kupita dunia nzima, huyu wa Simba hajaja kuolewa huku! Ikifika muda wake ataondoka tu kwa sababu zozote zile, msije kujifanya watabiri buree!
Binafsi naona tatizo lipo kwa hawa Giants wetu 2 wa soka hapa Bongo yaani Yanga na Simba. Wakimpata Kocha wanamkweza utadhani yeye ndio atakuwa golikipa, beki, kiungo na mshambuliaji. Wakiacha huo ujinga wakusifia makocha wanaowaajiri kutakuwa hakuna malumbano kama haya yasiyo na tija.
 
Na Thadei Ole Mushi.

Simba wasiamini kuwa huyu Kocha anaweza kuwapa kila kitu wanachokifikiria. Nimepitia data za alikofundisha kote inawezekana akafukuzwa Simba kabla ya Dirisha Dogo la Usajili halijfunguliwa. Twende Kwa Data:-

Simba hapo ilipo kwenye ranking za Fifa ni Timu ya 484 lakini kote alikofundisha huyu Kocha kama Kocha Mkuu hajawahi kufundisha club kubwa kama Simba.

Timu alizofundisha.

1. Saburtalo ya Georgia hapa alicheza match 22 akashinda 10, akapata draw 6 akafungwa match 6. Hii Timu kwenye Ranking za Fifa ni ya 1,400.

2. Al- Qasdia hii ndio Timu aliyotokea kabla ya kujiunga Simba. Timu hii ni ya Kuweit [emoji23][emoji23][emoji23] kule kwenye mabomu ya kutega ardhini. Kwenye ranking za Fifa hii Timu ni ya 1,388 na kwenye ranking za bara la Asia ni ya 244.

3. Gatafe B alicheza match 26 akashinda 11, aka-draw match 7 akafungwa match 8.

4. Gatafe A hapa alicheza match 14 akashinda 3, akadraw 2 akafungwa 9. Gatafe A walimuajiri sio baada ya Kufukuzwa Kwa Kocha aliyekuwa anaitwa Quque Florez. Akapewa Timu amalizie match 14 zilizobakia akapigwa match 9 baada ya Msimu akafukuzwa. Na kwenye match zote akiwa Gatafe A alizofungwa alikuwa akipigwa sio chini ya Goli nne Hadi nane.

5. Pale Real Madrid alihudumu kama Kocha Msaidiz Kwa Miezi Mitatu siku 94 tu akaondolewa.

Hata huko Kuweit alishindwa kunyanyua Ndoo ya Ligi ya Kuweit na kwenye Historia yake Hana Ndoo yoyote inayoonekana kwenye cv yake. Huyu ndiye Babra anatuambia atalipwa Ghali Sana.

Kwenye Ranking za Fifa za Makocha Bora hayupo na Wala hatambuliki kama ilivyo Kwa Suleiman Matola au Nabi wa Yanga. Kwenye List ya Fifa anayeongoza ni Clop wa Liverpool na wa Mwisho anayeshika nafasi ya 700 ni Bernand Storch anayefundisha Certle Brugge ya Ubelgiji.

Ukisikia jinsi mashabiki wa Simba wanavyomwelezea Kocha wao unaweza kukimbia ligi lakini Wana Kazi kubwa Sana ya Kufanya msimu huu. Kocha wa namna hii kuja kumbadilisha Boko Akimbie Kwa spidi kama ya Moloko au Wawa kumkaba Fiston Mayele na Feisal Kwa pamoja ni shughuli kubwa Sana kwake.

Ukinuna uwe na sababu za Msingi.

Ole Mushi
0712702602.
Shis is shimba
 
Kwanza sio kweli kuwa wamemtimua baada ya miezi mitatu na kumbuka alikua Madrid msimu wa mwaka juzi

Sasa jiulize Madrid walikua hawaoni madhaifu yake ya nyuma huko alipopita akifundisha team kama Getafe na zingine
Walimtimua baada ya muda gani? Na kwanini wamtimue?
 
Yaani hicho ndio kimekuchekesha, na kikameki yua dei? Au kuna tatizo mahali mwilini!
Bwabwa ilo,ukiona jinsia ya kiume inacheka na viemoji na vineno vya kiingereza hujue bwabwa linapumuliwa kisogoni
 
Back
Top Bottom