kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,561
- 2,186
nimesoma mahojiano ya manqoba na kituo Kimoja cha habari SA kama ni kweli alichoongea kuhusu baadhi ya wachezaji kujiamulia kutoenda mazoezini na viongozi kuwasapoti, basi uongozi utakuwa na shida na unawapa makocha wakati mgumu kutimiza program zao