Kocha mpya wa Yanga ajaye ana balaa zito, Kuna timu zitaacha ndala

nimesoma mahojiano ya manqoba na kituo Kimoja cha habari SA kama ni kweli alichoongea kuhusu baadhi ya wachezaji kujiamulia kutoenda mazoezini na viongozi kuwasapoti, basi uongozi utakuwa na shida na unawapa makocha wakati mgumu kutimiza program zao
 
Why are you disrespecting me, great Tate, why is it becoming like Mama Gwajima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…