Uzuri wake ana kisingizio cha maana kwamba yeye hajafanya usajili. Wachezaji kawakuta tu
Mimi ni shabiki nguli wa Yanga lakini kwa huyo kocha kwa kweli tumepigwa.
Ni kweli Mkuu kwa hali hii tutalalamika sana kuwa Simba inabebwa kumbe tunajitakia wenyewe.Rangi kaka rangi....bora wangemuajiri mecky kama kocha mkuu na kumpa mshahara wa million 15
"Ukikosa kware mawindoni, rudi hata na bundi". Uto kama uto!!
[emoji23][emoji23][emoji2]acha roho mbaya mkuu"Ukikosa kware mawindoni, rudi hata na bundi". Uto kama uto!!
Ha ha haaa! Ila watu wana roho mbaya sipata kuona haya mkuu."Ukikosa kware mawindoni, rudi hata na bundi". Uto kama uto!!