Hizo salamu Zinatusaidia Watanzania nini ?
Shtukeni, wazungu wana jambo Lao, no free lunch wakuu. Tena wakiwa na jambo lao huwa wako very coordinated and organized. 🤣Kocha wa Mstaafu wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Sir Alex Ferguson atuma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025
Timu inayoshuka daraja sisi ya nn.? Tuletee ubia na timu zilizopo kwenye upepo mzuri kama arsenal, liverpool, psg barca madrid zote bayern munich nk sasa hawa wazee wa mstari mwekundu wamepoteza mwelekeoKocha wa Mstaafu wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Sir Alex Ferguson atuma salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Soma Pia: Rais Samia akutana na Mmiliki wa Klabu ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, Ikulu ya Dar leo Aprili 11, 2025
Kabisa mkuu no free lunch in capitalismShtukeni, wazungu wana jambo Lao, no free lunch wakuu. Tena wakiwa na jambo lao huwa wako very coordinated and organized. 🤣