Kocha Mwambusi acha Uyanga utawatoaje akina Mwalyanzi na Tegere ambao ndiyo Wanaisumbua Yanga SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi.

Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
 
Mwambusi Aache Makasiriko Anafanya Uhujumu Uchumi
 
Kocha Juma Mwambusi kamtoa tena Mshambuliaji tegemeo na mahiri Jaffari Kibaya.

Mpuuzi mno huyu Kocha na yote hii anataka Kuidhoofisha Ihefu FC ( Timu anayoifundisha ) ili Yanga SC iwe imara na Goli lirudi na waongeze la Ushindi.
 
Nadhani anaimarisha safu ya ulinzi na katikati
 
Wanasimba kila siku mnalalamika mpaka mnataka mpanhia kocha wa Ihefu.
Yanga imewashinda mnatafuta wa kuwasaidia. Kipigo ni aluta continua
 
Kuna muda anatolewa mahundi nkasema dah, yule mzee ana ujinga sana yule
 
Back
Top Bottom