GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwambusi Aache Makasiriko Anafanya Uhujumu UchumiKocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi.
Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
Anaihujumu Ihefu FC ili idhoofike na Yanga SC itoke Sare au hata iibuke na Ushindi.Mwambusi Aache Makasiriko Anafanya Uhujumu Uchumi
Kaona Yanga Ipo Dhoofu HaliAnaihujumu Ihefu FC ili idhoofike na Yanga SC itoke Sare au hata iibuke na Ushindi.
Nadhani anaimarisha safu ya ulinzi na katikatiKocha Juma Mwambusi kamtoa tena Mshambuliaji tegemeo na mahiri Jaffari Kibaya.
Mpuuzi mno huyu Kocha na yote hii anataka Kuidhoofisha Ihefu FC ( Timu anayoifundisha ) ili Yanga SC iwe imara na Goli lirudi na waongeze la Ushindi.
Tegemeeni Goli kurudi na Yanga SC kusawazisha na hata kuongeza Goli lingine la Tatu.Kaona Yanga Ipo Dhoofu Hali
Usimwamini Kocha Juma Mwambusi wa Ihefu FC kwani ni mwana Yanga SC lia lia.Nadhani anaimarisha safu ya ulinzi na katikati
Leo mnafungwa.Wanasimba kila siku mnalalamika mpaka mnataka mpanhia kocha wa Ihefu.
Yanga imewashinda mnatafuta wa kuwasaidia. Kipigo ni aluta continua
Leo mnafungwa.Wanasimba kila siku mnalalamika mpaka mnataka mpanhia kocha wa Ihefu.
Yanga imewashinda mnatafuta wa kuwasaidia. Kipigo ni aluta continua
Ndiyo UkweliLeo mnafungwa.
Hatufungwi mara hii tuko vizuri. Mkuu ushaanza kuwa na mashaka mpaka ushaanza sema kocha anadhoofisha timu yake.Leo mnafungwa.
Mbona unalamika sasa ilhali unajua Yanga wanafungwa!. Wewe ni popoma au zwazwa?Leo mnafungwa.
Ni kweli hamjafungwa leo Hongereni.Hatufungwi mara hii tuko vizuri. Mkuu ushaanza kuwa na mashaka mpaka ushaanza sema kocha anadhoofisha timu yake.