Hivi uyu kocha ana muda Gani tokea amekuja pale Simba? Uwezi kusema unajenga timu Kila siku na umeshacheza mechi za kimashindano rasmi za kutosha, icho ni kichaka cha kujifichia,,uwezo wa wachezaji wa Simba ndio umeishia hapo akuna kingine watachoongeza,,na uwezo wa kocha umeishia hapo!Kocha bado anajitafuta sana sjajua kama Simba watamvumilia mpaka msimu uishe. Hilo sidhani.
Bado timu inajengwa. Simba hii subirini msimu uao mtaona moto wakeHivi uyu kocha ana muda Gani tokea amekuja pale Simba? Uwezi kusema unajenga timu Kila siku na umeshacheza mechi za kimashindano rasmi za kutosha, icho ni kichaka cha kujifichia,,uwezo wa wachezaji wa Simba ndio umeishia hapo akuna kingine watachoongeza,,na uwezo wa kocha umeishia hapo!
Hizi ni ngonjera tu,,mtajenga timu miaka 10,,wenzako wanasema mmeshajipata pindi mnaposhinda but mnapofungwa wanageuka Tena wanakwambia wanajenga timu🚮🚮Bado timu inajengwa. Simba hii subirini msimu uao mtaona moto wake
Nilisema ataua vipawa.Utakuwa hauko sawa aisee.!
Jizuie Mkuu, usije ukajidhuru.
Ahahaha🤣🤣🤣 mhindi alibana matumizi akaona atafute kocha Bei chee na wachezaji Bei chee,,alafu mashabiki wanatoa povu kuwalaumu wachezaji wakati viwango vyao ndio vimeishia hapo na kocha nae uwezo wake ni wa kuzifundisha Namungo ama kmc sio Simba!Nahisi moja ya kigezo walichotumia Simba kusajili kocha ni awe anatoka nje ya Tanzania na kudai msgahara mdogo.