Hivi uyu kocha ana muda Gani tokea amekuja pale Simba? Uwezi kusema unajenga timu Kila siku na umeshacheza mechi za kimashindano rasmi za kutosha, icho ni kichaka cha kujifichia,,uwezo wa wachezaji wa Simba ndio umeishia hapo akuna kingine watachoongeza,,na uwezo wa kocha umeishia hapo!Kocha bado anajitafuta sana sjajua kama Simba watamvumilia mpaka msimu uishe. Hilo sidhani.