Kocha Mwinyi Zahera ameelemewa,asaidiwe ushauri nasaha

Simba ipi imeanzishwa Mwaka 1939? Kama ni hii wafalme wa kabumbu Africa mashariki na Kati utakua umekosea...maana Simba ya Tanzania iliyopelekea nchi kupeleka Timu nne katika michuano ya Ngazi ya vilabu vya CAF imeanzishwa Mwaka 1936.
 
sasa kama tff inafanya mambo ya hovyo akae kimya tu?
 
Hatuwezi kufika magoli ya Yanga yanakataliwa Bila ya sababu za msingi huku mikia hata goli la offside linakubaliwa.. tunadanganywa ligi yetu ni bora inakuwaje Kati ya nchi 33 marefa waliochaguliwa AFCON 2019 Hakuna mtanzania hata mmoja..
 
Hatuwezi kufika magoli ya Yanga yanakataliwa Bila ya sababu za msingi huku mikia hata goli la offside linakubaliwa.. tunadanganywa ligi yetu ni bora inakuwaje Kati ya nchi 33 marefa waliochaguliwa AFCON 2019 Hakuna mtanzania hata mmoja..

Huo ni mchezo, Okwi alifunga goli safi kabisa dhidi ya Yanga September 30, 2018 lakini mwamuzi akalikataa na Yanga ikafurahia sare ya 0-0. Mbona hakulalalimika?
 
Huo ni mchezo, Okwi alifunga goli safi kabisa dhidi ya Yanga September 30, 2018 lakini mwamuzi akalikataa na Yanga ikafurahia sare ya 0-0. Mbona hakulalalimika?
Hujui sheria za soka ndio maana yule mama hajachezesha mechi ya Simba tena. . Ninja aliupiga mpira ukakatika was not intentionally.. Kagere alikuwa offside position. . Ndio maana beki akiokoa mpira ukakatika kipa wake anaruhusiwa kudaka. . Tusome hivi vitu vigumu kutafsiri Waingereza sio watu wazuri
 

Yaan umeongea kitu ambacho hakina mantiki
Real Madrid makao makuu yake hispainia lkn ina mashabiki duniani kote
Manchester United ipo UK ina mashabiki Tz
Chelsea ipo UK ina mashabiki Tz na duniani kote
Sembuse simba ipo Tz kwetu tunaiona kila muda
Kama maneno yako yangekuwa yana logic timu za ulaya zisingekuwa na mashabiki Africa au Asia
Ktk kombe la dunia watu wanashibikia timu bila ya kujali nchi tumeona watu walivyoshabikia ufaransa na si wafaransa
Najua unayo timu ulaya je na ww mzungu?
 
Mutatafuta mchawi mpaka uchawini lakini mchawi wenu yanga ni ukata mkubwa na sio waamuzi wala simba. Adui muombee njaa. Hahahahaaa
 
Hatuwezi kufika magoli ya Yanga yanakataliwa Bila ya sababu za msingi huku mikia hata goli la offside linakubaliwa.. tunadanganywa ligi yetu ni bora inakuwaje Kati ya nchi 33 marefa waliochaguliwa AFCON 2019 Hakuna mtanzania hata mmoja..
Waarabu wa Moro wamewashika pabaya.. tena mchana jua kali.
 
sasa kuna maana gani ya ligi kama simba wanapendelewa? kama tff wanaipenda simba wazifute timu zote waibakize simba wawe wanawapa ubingwa kila mwaka bila kucheza. timu zote zinalalamika simba kubebwa unadhani ni wajinga?
Tuanze na Yanga vs Simba.. game ya kwanza 0-0
Ya pili mkala 1-0 , tukio gani tulibebwa?
Then twende ya Azam hadi tumalize.
Au ndio mmetumwa kutafuta sababu wkt timu yenu inawin kibahati tu.
 
yanga timu ya wananchi wazawa waafrika . simba timu ya wahindi na waarabu. wahindi wanawashangaa nyie waafrika kushabikia timu yao
Rangi inahusiana nini na soka.. huoni SADIO MANE anampasia gozi FIRMINO pale Liverpool.
Halafu tusifike huko, kwani ulivyoshangilia AL AHLY wewe ni mwarabu?
 
Vp na kule kwenye azam federation simba wanabebwa, jana simba kacheza na coast na kaondoka baada ya game kurudi dar , hivi leo anaondoka kwenda kagera, kwa ratiba hii isiyo rafiki kwa afya za wachezaji bado unasema simba inabebwa
Hawa vyura kelele zao hazizuii Azam kuwalamba.
 
Simba ni timu pekee ambayo Zahera alikubali iko vzr kuliko timu yake.. baada ya MK14 Kufanya yake.
Ajabu leo wanadai wao wana timu nzuri ya kuwin kuliko Simba.
Mchawi bhana!!
 
Inaboaga, pale upo unachochea baiskeli ya Avon, Swala, Gazebo au Phoenix tena umesimamia na majasho then jamaa linakuja nyuma na pikpk ya Yamaha tena slow then linakupita!!


Haya Masimba bana, yatamuua mkongo wa watu!
 
Si aondoke tu kwani amefungwa kamba au hao yanga ni wakwe zake
 
Huyu jamaa akifungwa waga anasababu za kijinga kama klopp wa liverfool
 
Ubabaishaji wa kubadilishia mda wa mechi kulimzuia makoambo kufunga gaol au ?
 
Nikutumie sh ngap unitumie vichekesho kama hivi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe Jana Hajawina.
Kila Akikosa Kuwina Lawama Zote Anaitwisha TFF na Simba SC.
Akiwina Anazungumza Kifaransa na Kilingala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…