Yaan umeongea kitu ambacho hakina mantiki
Real Madrid makao makuu yake hispainia lkn ina mashabiki duniani kote
Manchester United ipo UK ina mashabiki Tz
Chelsea ipo UK ina mashabiki Tz na duniani kote
Sembuse simba ipo Tz kwetu tunaiona kila muda
Kama maneno yako yangekuwa yana logic timu za ulaya zisingekuwa na mashabiki Africa au Asia
Ktk kombe la dunia watu wanashibikia timu bila ya kujali nchi tumeona watu walivyoshabikia ufaransa na si wafaransa
Najua unayo timu ulaya je na ww mzungu?