Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787]Kumbe Jana Hajawina.
Kila Akikosa Kuwina Lawama Zote Anaitwisha TFF na Simba SC.
Akiwina Anazungumza Kifaransa na Kilingala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Kumbe Jana Hajawina.
Kila Akikosa Kuwina Lawama Zote Anaitwisha TFF na Simba SC.
Akiwina Anazungumza Kifaransa na Kilingala.
Jamaa Kasema kuanzishwa sio kushabikiaYaan umeongea kitu ambacho hakina mantiki
Real Madrid makao makuu yake hispainia lkn ina mashabiki duniani kote
Manchester United ipo UK ina mashabiki Tz
Chelsea ipo UK ina mashabiki Tz na duniani kote
Sembuse simba ipo Tz kwetu tunaiona kila muda
Kama maneno yako yangekuwa yana logic timu za ulaya zisingekuwa na mashabiki Africa au Asia
Ktk kombe la dunia watu wanashibikia timu bila ya kujali nchi tumeona watu walivyoshabikia ufaransa na si wafaransa
Najua unayo timu ulaya je na ww mzungu?
unaandika ujinga.mbaguzi mkubwa.yanga timu ya wananchi wazawa waafrika . simba timu ya wahindi na waarabu. wahindi wanawashangaa nyie waafrika kushabikia timu yao