Nna vision ya mbali ndo maana nakubaliana na mabadiliko ya sasa.weka akiba ya maneno yako mkuu.kuwa na vision sio kujidai ndo mnazi saaaaana kumbe hujui jahazi linapoelekea.naipenda yanga lakini ni move ya kijinga sana wamefanya this time. naamini tungekuwa juu ya mikia fc kocha angebaki mpaka leo
Kimataifa Hans ameshindwa kuonyesha ubora wake,,ndio timu imeingia makundi lakini kupitia kibonde....na bado tukawa wa mwisho kwenye kundi.....
Kuna baadhi ya matatizo sugu kwenye timu kashindwa kuyatatua.