Kocha Mzambia, George Lwandamina amesaini mkataba wa kuinoa klabu ya Yanga kwa kipindi cha miaka 2

Status
Not open for further replies.
weka akiba ya maneno yako mkuu.kuwa na vision sio kujidai ndo mnazi saaaaana kumbe hujui jahazi linapoelekea.naipenda yanga lakini ni move ya kijinga sana wamefanya this time. naamini tungekuwa juu ya mikia fc kocha angebaki mpaka leo
Nna vision ya mbali ndo maana nakubaliana na mabadiliko ya sasa.
Kimataifa Hans ameshindwa kuonyesha ubora wake,,ndio timu imeingia makundi lakini kupitia kibonde....na bado tukawa wa mwisho kwenye kundi.....
Kuna baadhi ya matatizo sugu kwenye timu kashindwa kuyatatua.
 
mkuu una vision lakini huna passion. kumhukumu kwasababu ya mechi za kimataifa ni ujuha. ye ndio kwanza ametufikisha level ile,so at least msimu ujao tungeangalia amefika wapi.unataka tuingie ile hatua kwa mara ya kwanza tangu timu inaanzishwa na hapo hapo tuchukue ubingwa tumsunge mazembe ambaye miaka nenda rudi yupo huko? kweli inawezekana
angalia takwimu za hans misimu miwili akiyokaa amebeba ligi mara 2 na fa.meaning kwamba hajaacha kikombe chochote cha ndani tulichoshiriki.angalia yanga ilivocheza na al ahly mara zote 2 jinsi waarabu walivoona chamoto.sasa badala ya kumpa muda atupige brashi tuwe vizuri zaidi sisi tunamuondoa then anaekuja aanze moja tena na falsafa zake(ambazo huna uhakika kama zitafanya kazi kibongo). i will always say tumefanya move ya kijinga.no wisdom at all
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…