THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania.
Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live.
Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the same kwa Wachezaji wa Simba SC wanakua na akili zile ambazo walikuja nazo kabla ya mchezo.
Yan I meana Simba wanatakiwa wawe KINYONGA.
Kitu ambacho Yanga mda wote anafaulu dhidi ya Simba au dhidi ya wapinzani wagumu ambao hua anakutana nao.
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
Simba leo waliingia na Technique ya kukimbia na mpira plus pasi ndefu ukiangalia match imechezwa kwa style ile hadi ule mda anaingia Ngoma, Kijili, Fred ndio Simba wakaanza kucheza Pasi fupifupi na kwa kufungua.