THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaikumbuka Yanga ya msimu wa 21/22 ilikua na maingizo mengi mapya na mpaka benchi la ufundi lilikua jipya lakini ndio msimu tuliochukua makombe yote ya ndani pamoja kwamba hatukafanya vizuri mashindano ya Caf lakini timu ilionekana mapema..Team haina hata mwezi ila imepiga mpira mkubwa sana...
Kimsingi hii ni team mpya kabisa, hakuna chemistry bado...
Leo siwadai Simba...
Simba hakuna beki za pembeni. Walioko wamechoka na ndio uchochoro mkubwa ulipoSimba hakuna beki za kati, ni ugonjwa mkubwa sana wa muda mrefu unaofumbiwa macho, wanahitajika mabeki wanaocheza kazi kazi siyo mabishoo hapo kati
OverUnaikumbuka Yanga ya msimu wa 21/22 ilikua na maingizo mengi mapya na mpaka benchi la ufundi lilikua jipya lakini ndio msimu tuliochukua makombe yote ya ndani pamoja kwamba hatukafanya vizuri mashindano ya Caf lakini timu ilionekana mapema..
Hichi kichaka cha chemistry hua mnajipumbaza tu usitegemee kuona ubora wa Mutale zaidi ya huo aliokwisha uonyesha kwenye mechi zake mbili au Debora..
Msimu wa kwanza Nabi anawapiga taifa kwenye ngao ya jamii Mayele akifunga moja pasi ya Faridi Mussa timu ilikua na maingizo mapya kwa asilimia themanini na nyie mlikua na timu ile ile mpira ni mchezo wa mbinu na uwezo..
Kitu ambacho ujui Simba ndio alikuwa na faida kubwa ya kumfunga yanga, Kocha fadlu alikuwa na faida ya kujua yanga vizuri inavyocheza na wachezaji wake wote kwakuwa kawaona kwenye mechi zao 4 mfululizo na kawafatilia mechi zao zilizopita za ligi kwakuwa awajabadilisha kikosi ni kile kile lakini gamond ilikuwa ngumu kwake kuijua Simba kwakuwa awajui wachezaji waliosajiliwa wanachezaje na timu inachezaji kiufundi maana ajawaona popote zaidi ya Simba day, ivyo basi Kama fadlu kashindwa kupata matokeo Jana usitegemee atakuja kuyapata Tena kwa gamond Maana timu yake na mbinu zake tiyali gamond keshaziweka kwenye faili Ivyo wakikutana Tena utakuja Kuona kitu tofauti kabisa!Kwa mtu mwenye jicho la mpira, leo ndio mala ya mwisho simba kufungwa na yanga
Sawa sawa na hapo wamecheza plus kukamia tusingwe nyingiUnaikumbuka Yanga ya msimu wa 21/22 ilikua na maingizo mengi mapya na mpaka benchi la ufundi lilikua jipya lakini ndio msimu tuliochukua makombe yote ya ndani pamoja kwamba hatukafanya vizuri mashindano ya Caf lakini timu ilionekana mapema..
Hichi kichaka cha chemistry hua mnajipumbaza tu usitegemee kuona ubora wa Mutale zaidi ya huo aliokwisha uonyesha kwenye mechi zake mbili au Debora..
Msimu wa kwanza Nabi anawapiga taifa kwenye ngao ya jamii Mayele akifunga moja pasi ya Faridi Mussa timu ilikua na maingizo mapya kwa asilimia themanini na nyie mlikua na timu ile ile mpira ni mchezo wa mbinu na uwezo..
Benchikha mechi ya kwanza mlisema hivi hivi hadaiwi kaibadili timu.Team haina hata mwezi ila imepiga mpira mkubwa sana...
Kimsingi hii ni team mpya kabisa, hakuna chemistry bado...
Leo siwadai Simba...
Kwa muunganiko wa Yanga, hamkupaswa kusumbuliwa vile na team mpya...Benchikha mechi ya kwanza mlisema hivi hivi hadaiwi kaibadili timu.
Subiri mechi 15 za ligi kuu na kimataifa.
Sawa.Kwa muunganiko wa Yanga, hamkupaswa kusumbuliwa vile na team mpya...
Nina uhakika unaongea ukiwa na hofu kubwa mkuu...
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania.
Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live.
Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the same kwa Wachezaji wa Simba SC wanakua na akili zile ambazo walikuja nazo kabla ya mchezo.
Yan I meana Simba wanatakiwa wawe KINYONGA.
Kitu ambacho Yanga mda wote anafaulu dhidi ya Simba au dhidi ya wapinzani wagumu ambao hua anakutana nao.
Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024
Simba leo waliingia na Technique ya kukimbia na mpira plus pasi ndefu ukiangalia match imechezwa kwa style ile hadi ule mda anaingia Ngoma, Kijili, Fred ndio Simba wakaanza kucheza Pasi fupifupi na kwa kufungua.
National team huwa zinaungana muda gani?Kwa muunganiko wa Yanga, hamkupaswa kusumbuliwa vile na team mpya...
Nina uhakika unaongea ukiwa na hofu kubwa mkuu...