Kocha na Wachezaji wa Simba SC bado wana tatizo la kushindwa kumsoma Mpinzani

Team haina hata mwezi ila imepiga mpira mkubwa sana...

Kimsingi hii ni team mpya kabisa, hakuna chemistry bado...

Leo siwadai Simba...
Unaikumbuka Yanga ya msimu wa 21/22 ilikua na maingizo mengi mapya na mpaka benchi la ufundi lilikua jipya lakini ndio msimu tuliochukua makombe yote ya ndani pamoja kwamba hatukafanya vizuri mashindano ya Caf lakini timu ilionekana mapema..
Hichi kichaka cha chemistry hua mnajipumbaza tu usitegemee kuona ubora wa Mutale zaidi ya huo aliokwisha uonyesha kwenye mechi zake mbili au Debora..
Msimu wa kwanza Nabi anawapiga taifa kwenye ngao ya jamii Mayele akifunga moja pasi ya Faridi Mussa timu ilikua na maingizo mapya kwa asilimia themanini na nyie mlikua na timu ile ile mpira ni mchezo wa mbinu na uwezo..
 
Over
 
Kwa mtu mwenye jicho la mpira, leo ndio mala ya mwisho simba kufungwa na yanga
Kitu ambacho ujui Simba ndio alikuwa na faida kubwa ya kumfunga yanga, Kocha fadlu alikuwa na faida ya kujua yanga vizuri inavyocheza na wachezaji wake wote kwakuwa kawaona kwenye mechi zao 4 mfululizo na kawafatilia mechi zao zilizopita za ligi kwakuwa awajabadilisha kikosi ni kile kile lakini gamond ilikuwa ngumu kwake kuijua Simba kwakuwa awajui wachezaji waliosajiliwa wanachezaje na timu inachezaji kiufundi maana ajawaona popote zaidi ya Simba day, ivyo basi Kama fadlu kashindwa kupata matokeo Jana usitegemee atakuja kuyapata Tena kwa gamond Maana timu yake na mbinu zake tiyali gamond keshaziweka kwenye faili Ivyo wakikutana Tena utakuja Kuona kitu tofauti kabisa!
 
Sawa sawa na hapo wamecheza plus kukamia tusingwe nyingi
 
Team haina hata mwezi ila imepiga mpira mkubwa sana...

Kimsingi hii ni team mpya kabisa, hakuna chemistry bado...

Leo siwadai Simba...
Benchikha mechi ya kwanza mlisema hivi hivi hadaiwi kaibadili timu.
Subiri mechi 15 za ligi kuu na kimataifa.
 
Benchikha mechi ya kwanza mlisema hivi hivi hadaiwi kaibadili timu.
Subiri mechi 15 za ligi kuu na kimataifa.
Kwa muunganiko wa Yanga, hamkupaswa kusumbuliwa vile na team mpya...

Nina uhakika unaongea ukiwa na hofu kubwa mkuu...
 
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.
 
MCHUKUUE KIBU, MUTALE, DEBORA, NA AWESU AWESU WAWEKE KWENYE BRENDA SAGA KWA DAKIKA MOJA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE KIDOGO SAGA TENA KISHA TIA SHABALALA NA KAPOMBE SAGA TENA KISHA TIA MZAMIRU NA MUKWALA KWA MBALI SAGA KIDOGO TENA HALFU WEKA BALUA VIJIKO VIWILI NA FONDO MALONE KIJIKO KIMOJA HALFU KOROGA VIZURI NDIO UNAMPATA PROFESA WA MPIRA PACOME ZOUA ZOUA๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ™Œ๐Ÿป
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ