OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Swali: Safu yako ya ulinzi inaruhusu goli takribani saba, inakwenda kimataifa unatazamaje hili?"
"Jibu Nabi: Nipe hongera, Sadiki wewe na rafiki yako Ibrahimu mna maswali sawa sawa, hii ni ajabu sana. Kwanini mnauliza maswali ya zamani, sijui kama wewe ni mtaalamu au lah, unafikiriaje magoli uliyopata msimu uliyopita? Aaaaah jamani!"
Kocha atulie alambe dawa.