NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kocha ni Robertinho tuHamna KOCHA hapo.
Tulia hapo hapo dawa iingie vizuriNaskia na manywele anamfuata huko
Nabi unatuhujumu sasa manywele ni mtu muhimu sana
Nani alimpigia fitna ? Nje ya mada wewe ni dini gani?Rizki ya mtu haiwezi kuzuiwa na mwanadamu milele. Kuna watu walimpigia fitna kwa Kaizer, mchongo wake ukaungua sasa karudi kwa waarabu wenzake halafu mara paah Rabat wanapangwa na puyanga
Kajificha na simu hapokei,haaaa,,raha sanaDiara wapi