Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwache aende nao kwani mpira ni biashara sisi tunachotaka ni hela.Ataondoka na watu. Siyo mmoja, siyo wawili
Mtapata kamisheni yenu ya udalali, pesa ya maana inaenda kwa mwenye mali.Mwache aende nao kwani mpira ni biashara sisi tunachotaka ni hela.
Mtaumia sana ni mwendo wa Bil Bil na nyie kama mnahela njooni.Mtapata kamisheni yenu ya udalali, pesa ya maana inaenda kwa mwenye mali
Unapata bil bil halafu unaenda kuokota yule beki wa Villa?Mtaumia sana ni mwendo wa Bil Bil na nyie kama mnahela njooni.
Ndio mpira ,yule wa Vila anaweza kuwa bora zaidi ya yule mule muokota Senegal,kwani Sawadogo mmemuokota wapi na Mudathir alipatikana wapi,then Sawadogo alifanya nini na Mudathir akafanya nini, bado kwa yule dogo mwengine Bacca wa tuliye muokota mapinduzi Zanzibar.Unapata bil bil halafu unaenda kuokota yule beki wa Villa?
Ubora labda aje kuupatia hapo puyanga. Na hao wachezaji walipatikana kwenye dirisha dogo lakini hauwezi kuniambia eti dirisha kubwa unauza wachezaji tegemeo kwa mabilioni kama mnavyodanganyana kwenye vijiwe vyenu halafu unaleta beki mwenye sifa za kujifunga. Uzeni wachezaji wenu wenyewe tuone kweli wana thamani na kama mnaamini katika falsafa hiyo ya kuuza wachezaji siyo mpaka mkasutwe Ikulu.Ndio mpira ,yule wa Vila anaweza kuwa bora zaidi ya yule mule muokota Senegal,kwani Sawadogo mmemuokota wapi na Mudathir alipatikana wapi,then Sawadogo alifanya nini na Mudathir akafanya nini, bado kwa yule dogo mwengine Bacca wa tuliye muokota mapinduzi Zanzibar.
Mpira scouting ukiijua hutumii hela,nyingi mmewaokota wakina Okwa,Sawadogo, Quattara leo hii wote wana wadai.Wabongo mnapenda kusikia mchezaji katoka Senegal,Cameroon, Congo ndio muamini anajua. Hao wakina Kapombe,Shabalala walitoka wapi?.
Kwani tuliowauza wachezaji wa nani? Walikuwa na mkataba wa nani?Hivi Naymer ni mchezaji wa timu gani na nani ana maamuzi juu ya kuuzwa kwa Naymer?Ubora labda aje kuupatia hapo puyanga. Na hao wachezaji walipatikana kwenye dirisha dogo lakini hauwezi kuniambia eti dirisha kubwa unauza wachezaji tegemeo kwa mabilioni kama mnavyodanganyana kwenye vijiwe vyenu halafu unaleta beki mwenye sifa za kujifunga. Uzeni wachezaji wenu wenyewe tuone kweli wana thamani na kama mnaamini katika falsafa hiyo ya kuuza wachezaji siyo mpaka mkasutwe Ikulu.
Timu maskini tu ndiyo zina mentality hiyo ya kudhani wachezaji wazuri ni wale wa bure au wa bei chee, Bayern wako tayari kumuuza Mane kwa hasara kubwa hana hata mwaka na wako mbioni kumreplace kwa Keane kwa gharama kubwa. Hayo ndiyo mambo timu zinazotambua zinafanya nini zinafanya.
Halafu jikite kwenye facts, nani kakuambia Outtara na Okwa wanaidai Simba?
Saa hii Inonga anatetema na Mayele huko kwenye timu yao ya taifa, sijui alijifunzia wapi..!!?? Au alipokuwa Tanzania, Inonga alikuwa anatetema chooni? Maana anapatia kishenzi..!!Haya Mayele akawatetemeshe manyonyo wanajeshi uko Marakech
Haya kabishane na radio 👇👇Hiyo interview ya Okwa umeiona au kuisikia wewe peke yako maana hakuna kitu kama hicho. Outtara je? Na kwenye swali langu sijamtaja Sawadogo.
Na unasema mmeuza "wachezaji", kwani wachezaji gani mmewauza, nipe list. Miq na Chama kuuzwa ni kama ambavyo wengine tumekuwa tunasema kwa muda mrefu kuwa Sakho atakuja kuuzwa tena kwa pesa nyingi tukawa tunabezwa, leo ndiyo mnaelewa.
Kumbe kacheleweshewa, mbona hilo linatokea kwa kila mtu unapofanya kazi na taasisi yoyote nchi hii. Yaani we kwa mtazamo wako unadhani Simba hii wanaweza kumdhurumu mchezaji wa kimataifa kwa kumuacha halafu wasimlipe stahiki zake bila kujua madhara yake? Na umemtaja Outtara, naye umesikia wapi?Haya kabishane na radio 👇👇
View attachment 2691976
Sakho huyu huyu, haya kauzwa kwa shilling ngapi Sakho...........?
Sakho bado hajauzwa ila mipango ipo ndiyo maana unaona hata Uturuki hajapelekwaHaya kabishane na radio 👇👇
View attachment 2691976
Sakho huyu huyu, haya kauzwa kwa shilling ngapi Sakho...........?
Quattara nilisikia Wasafi nae anadai, halafu mbona mkiambiwa madeni ya Simba mnakuwa wakali,ila uzushi huu wa Yanga mnaukubali au ndie ile Nyani haoni lake Kund*le?Kumbe kacheleweshewa, mbona hilo linatokea kwa kila mtu unapofanya kazi na taasisi yoyote nchi hii. Yaani we kwa mtazamo wako unadhani Simba hii wanaweza kumdhurumu mchezaji wa kimataifa kwa kumuacha halafu wasimlipe stahiki zake bila kujua madhara yake? Na umemtaja Outtara, naye umesikia wapi?
Hamna aliye mkali, najaribu tu kukuelewesha, tuweke ushabiki pembeni tuzungumze facts. Kwani mada ni madeni bwashee? Na hayo unayoita madeni unayokomalia, hata mwezi umefika kweli toka hao wachezaji wameachwa? Haya ni malipo yaliyo kwenye process ya kulipwa, unaongea utadhani ni madeni sugu. Tujikite kwenye hoja.Quattara nilisikia Wasafi nae anadai, halafu mbona mkiambiwa madeni ya Simba mnakuwa wakali,ila uzushi huu wa Yanga mnaukubali au ndie ile Nyani haoni lake Kund*le?
Kweli taasisi zina madeni na ndio maana Okwa,Sawadogo na Quattara wanawadai, hata Yanga nayo inadaiwa.
Unieleweshe nini sasa facts zangu zenye reference kutoka kwenye vyombo vya habari ulikuwa unazikataa. Sasa ww unaongea facts halafu huna reference watu si wanakuona mzushi.Hamna aliye mkali, najaribu tu kukuelewesha, tuweke ushabiki pembeni tuzungumze facts. Kwani mada ni madeni bwashee? Na hayo unayoita madeni unayokomalia, hata mwezi umefika kweli toka hao wachezaji wameachwa? Haya ni malipo yaliyo kwenye process ya kulipwa, unaongea utadhani ni madeni sugu. Tujikite kwenye hoja.
Atawapiga kama ngomaRizki ya mtu haiwezi kuzuiwa na mwanadamu milele. Kuna watu walimpigia fitna kwa Kaizer, mchongo wake ukaungua sasa karudi kwa waarabu wenzake halafu mara paah Rabat wanapangwa na puyanga
Umesema umesikia Wasafi wamesema, kwa hiyo nikuamini tu kwa kauli hiyo? Na Wasafi ipi unayotokea kuiamini sana, hii yenye kipindi kilichojikita kwenye tetesi? Na kwa kuwa unasema una ufahamu sana kwenye masuala ya malipo ya wachezaji, kawaida inachukua muda gani malipo tena ya mchezaji wa kimataifa kufanyika? Kumbuka hata dirisha la usajili halijafungwa. Tafuta mengine ya kuwasema Simba, kwenye hili unapuyanga tu.Unieleweshe nini sasa facts zangu zenye reference kutoka kwenye vyombo vya habari ulikuwa unazikataa. Sasa ww unaongea facts halafu huna reference watu si wanakuona mzushi.
Deni ni deni haijalishi lina siku ngapi.
Kwani zile za Sawadogo na Okwa si nimekuletea reference mbona ulikiwa mgumu kuto kuamini.Umesema umesikia Wasafi wamesema, kwa hiyo nikuamini tu kwa kauli hiyo? Na Wasafi ipi unayotokea kuiamini sana, hii yenye kipindi kilichojikita kwenye tetesi? Na kwa kuwa unasema una ufahamu sana kwenye masuala ya malipo ya wachezaji, kawaida inachukua muda gani malipo tena ya mchezaji wa kimataifa kufanyika? Kumbuka hata dirisha la usajili halijafungwa. Tafuta mengine ya kuwasema Simba, kwenye hili unapuyanga tu.