fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Humu ndani Kuna mambulula wengi sana kwahiyo huu ushakuwa Uzi tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
Uzi huo, kazi ipo.Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
IMAGINE BEING US!! 🤣😂🤣
Halafu jana kaendeleza ukaidi kwa kuvaa jezi ya Simba. Yanga tumemmind sana.Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
Aibu sana aisee jamii forum ishavamiwa na matahira haina mvuto tenaModerators mnaruhusu habari za kipuuzi kuwepo jf
Eti takataka kama gentamicinKuna mingine inapewa hadi tuzo
Eti haezi pumbavu kabisa uandishi wa kishoga huuNaby Haez baki. Lazima ataondoka. Watu wanaojua mpira duniani... Wanaona...ubora wa kocha na wachezaji..
Yanga ni utopolo vile na Naby kawafikisha mpaka fainali ya Shirikisho.
Mayele pia anaondoka..sidhani kama atabaki.
Ofa lazima zitakuja tuu...ni suala la muda...kwa uwezo waliouonesha naby na mayele..hawatobaki tena Yanga.
Mi nipo paleee..
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mingine inapewa hadi tuzo
Hata ikatokea akaondoka, bado sisi wananchi hatuna deni naye. Maana ndani ya muda mfupi tu aliokuwepo kqenye timu yetu, mafanikio yake hayapimiki.Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
Katika Club, Makocha, wachezaji wanakuja na kuondoka. Hakuna uchawi wowote hapo. Akiondoka atakuja mwingine.Mods, hawa ni wachawi msiruhusu nyuzi kama hizi