Kocha Nabi anataka kuondoka?

Kocha Nabi anataka kuondoka?

0357c785-e7da-460a-bea9-3f907e2cd8a8.jpg
 
Naby Haez baki. Lazima ataondoka. Watu wanaojua mpira duniani... Wanaona...ubora wa kocha na wachezaji..

Yanga ni utopolo vile na Naby kawafikisha mpaka fainali ya Shirikisho.

Mayele pia anaondoka..sidhani kama atabaki.

Ofa lazima zitakuja tuu...ni suala la muda...kwa uwezo waliouonesha naby na mayele..hawatobaki tena Yanga.

Mi nipo paleee..

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Eti haezi pumbavu kabisa uandishi wa kishoga huu
 
Kwa jinsi nilivyomsikia mwanae Nabi jana, na Nabi mwenyewe nahisi Nabi anataka kuondoka
Hata ikatokea akaondoka, bado sisi wananchi hatuna deni naye. Maana ndani ya muda mfupi tu aliokuwepo kqenye timu yetu, mafanikio yake hayapimiki.
 
Acha Aende maisha ni growth.....tutapata kocha mwingine haina shida ....kila heri Nabi bye bye Yanga ....asante sana
 
Back
Top Bottom