Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenyewe ni mnafiki.Morison hakupewa mkataba mpya Yanga kutokana na ripoti ya kocha Nabi kuwa hafai,cha ajabu eti kaenda kumsajili AS Rabat
Morison anapapenda Tanzania,hakuwa tayari kuondoka,alikuwa tayari kucheza hata Singida ila bajeti yao ndogo,mkataba kuisha si hoja angeweza kupewa mkataba mpyaMorrison alikuwa amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja kuitumikia Yanga. Yawezekana yeye ndiye aliyekataa kuongeza zaidi kwa kupata dili la Rabat, halafu huku nje tukawa tunaambiwa ameachwa
My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili MoroccoHakuna umafia hapo ishu ya Morrison ipo wazi bila hata ripoti ya kocha. Morison sio kwamba uwanjani ni mbaya ila tabia yake ndio tatizo, mchezaji anayekula mshahara pasipo kuutumika ipasavyo kazi yake. Tokea asajiliwe Yanga mechi alizocheza zinahesabika japo ndio katika hizo mechi ndio kasaidia matokeo kuwa mazuri kwa timu. Ni maamuzi sahihi sana ya kocha Nabi kayafanya kwa Yanga.
Ungekuwa wewe ndio Nabi ungetoa Ripoti nzuri kwa mchanga alioutoa pale Yanga kwa msimu uliopita!?My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili Morocco
Hahahahaha,kwani kaisha sajiliwa?Morison hakupewa mkataba mpya Yanga kutokana na ripoti ya kocha Nabi kuwa hafai,cha ajabu eti kaenda kumsajili AS Rabat
Morison na Yanga walishindwana mshahara, BM anataka mshahara mkubwa wakati KPI iko chiniUngekuwa wewe ndio Nabi ungetoa Ripoti nzuri kwa mchanga alioutoa pale Yanga kwa msimu uliopita!?
Nabi kumsajili ni kitu ya kiufundi, anamjua uwezo wake na mapungufu yake....hata Yanga hawakufungwa na Ripoti ya Kocha, wangeamua wangeweza kuendelea naye
Sio kwamba walimwambia apunguze mshahara waendelee nae?My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili Morocco
Hata mm najua hivi, na Nabi kamkabidhi TD wao amuangalie kwanzaNa huko si yupo kwenye majaribio?