Kocha Nabi ni mnafiki,alimkataa Morison Yanga ameenda kumsajili AS Far Rabat

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Morison hakupewa mkataba mpya Yanga kutokana na ripoti ya kocha Nabi kuwa hafai,cha ajabu eti kaenda kumsajili AS Rabat
 
Hakuna umafia hapo ishu ya Morrison ipo wazi bila hata ripoti ya kocha. Morison sio kwamba uwanjani ni mbaya ila tabia yake ndio tatizo, mchezaji anayekula mshahara pasipo kuutumika ipasavyo kazi yake. Tokea asajiliwe Yanga mechi alizocheza zinahesabika japo ndio katika hizo mechi ndio kasaidia matokeo kuwa mazuri kwa timu. Ni maamuzi sahihi sana ya kocha Nabi kayafanya kwa Yanga.
 
Morrison alikuwa amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja kuitumikia Yanga. Yawezekana yeye ndiye aliyekataa kuongeza zaidi kwa kupata dili la Rabat, halafu huku nje tukawa tunaambiwa ameachwa
 
Reactions: BRN
Morrison alikuwa amemaliza mkataba wake wa mwaka mmoja kuitumikia Yanga. Yawezekana yeye ndiye aliyekataa kuongeza zaidi kwa kupata dili la Rabat, halafu huku nje tukawa tunaambiwa ameachwa
Morison anapapenda Tanzania,hakuwa tayari kuondoka,alikuwa tayari kucheza hata Singida ila bajeti yao ndogo,mkataba kuisha si hoja angeweza kupewa mkataba mpya
 
My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili Morocco
 
My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili Morocco
Ungekuwa wewe ndio Nabi ungetoa Ripoti nzuri kwa mchanga alioutoa pale Yanga kwa msimu uliopita!?

Nabi kumsajili ni kitu ya kiufundi, anamjua uwezo wake na mapungufu yake....hata Yanga hawakufungwa na Ripoti ya Kocha, wangeamua wangeweza kuendelea naye
 
Morison na Yanga walishindwana mshahara, BM anataka mshahara mkubwa wakati KPI iko chini
 
My point is,Yanga hawakumuongezea mkataba wakidai ni riport ya kocha ndio imesema hivyo,cha ajabu kocha huyohuyo ameenda kumsajili Morocco
Sio kwamba walimwambia apunguze mshahara waendelee nae?
 
hapo ndio ujue mna viongozi matapeli kama kweli kamkataa kwanini kamchukua timu aliyoenda
 
Bernard Morrison ni toto tundu. Kipaji anacho, ila akili zake sasa ndiyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…