Kocha Nabi wala Kaizer Chiefs hawawezi kumchukua wala kumtaka Fiston Mayele

Mbona nasikia na kaizer hawajamchukua Nabi
Wote hawa Nabi, Mayele si wa kiwango hicho, wasikilize Yanga wenyewe wanayosema kuhusu Nabi baada ya kuondoka. Sasa hivi wanamsifia Mkude ila walikuwa wanakandia wachezaji wote wa Simba na kuwaita wazee na wabovu.
 
Yani unadhani hata najishughulisha nao kuhusu mkude nimewapuuza wao ndo daily Simba inalea wazee leo tena hao hao wanamuona mkude ni under 20...sijui kweli wanamsajili labda ndo maana wanampamba....sisi mkude kwetu yuko mioyoni itabaki hivyo sema muda wake umefika wa kuondoka.
 
Back
Top Bottom