nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Kwa mujibu wa gazeti CHAWA la HOME SHOPPING CENTRE ni kwamba kocha mwarabu toka Tunisia haridhiki na maandalizi, yaani wazungu wanasema WRITING ON THE WALL. Mwarabu alianza kusema UTOPOLO FC itachukua siku 90 kuunganika, akataka kabla ya kukutana na washindi wa pili wa ligi ya nigeria THE MIGHTY RIVERS UTD anataka siku ya ijumaa na jumamosi watumie uwanja wa mkapa kufanya mazoezi sababu KALE KA UWANJA CHA KIGAMBONI WALICHOFANIKIWA KUWAFUNGA PAN AFRICAN NA FRIENDS RANGERS KANA 40 Mitaz TU hilo limeshindikana pia
KIFUATACHO CHINI NI NUKUU YA CHAWA WA GSM MWANASPOTI SITAKI MASWALI...HIVI AUCHO NA MDAKA GOLOLI WAMEFIKA
===========
Kocha mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi anasema kikosi chake msimu huu kuna wachezaji wengi wazuri ambao wamekosa muda wa kufanya maandalizi ya kutosha zaidi (Pre season), ambayo ingewajenga na kuonyesha ubora katika mashindano yote.
“Msimu huu kutokana na upana wa kikosi cha Yanga wachezaji ambao watakuwa wanafanya vizuri katika mazoezi ndio ambao watapata nafasi ya kucheza kwani nafanya hivyo ili kupata ushindani kuanzia kwetu,” alisema Nabi.
Makambo anasema wakati anaondoka kwenye kikosi cha Yanga hapakuwa na wachezaji wengi wazuri kama waliokuwepo wakati huu, ila kwa upande wake amejipanga kupambana kuanzia mazoezini mpaka kwenye mechi ili kupata nafasi ya kucheza zaidi.
“Yanga ya msimu huu imeimarika katika maeneo mengi naimani ushindani utakuwepo ndani yetu wachezaji lakini ndio utakuja kuakisi matokeo mazuri katika mechi ambazo tutacheza,” anasema Makambo ambaye ameweka hadharani anataka kufunga zaidi ya mabao 17, ambayo alifunga mara ya mwisho kwenye Ligi Kuu Bara.
Mwananchi

Nabi ataja mastaa anaowataka Yanga
TUESDAY SEPTEMBER 07 2021