Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
NABI:
Tunatakiwa kuwa makini na huu mchezo wa nyumbani, watu wanasema tunatakiwa kushinda mabao mengi, wako sahihi, kwangu mimi ni tofauti kidogo tunachotakiwa ni kuwa makini tusiruhusu bao hapa kwetu lakini ushindi wowote utatupa akili kubwa kule kwao.
Tunakwenda kucheza na timu ambayo imekuwa ikitafuta njia nzuri ya kushinda kwao kuanzia ugenini, tumeona kosa ambalo Pyramids walilifanya kwao na matokeo yake wakaadhibiwa ugenini, tunacheza na timu isiyotabirika na wanaocheza kwa nidhamu kubwaa.
Nimewaambia wachezaji wangu kama kuna mchezo tunatakiwa kuonyesha ukomavu wa nidhamu ya mchezo ni huu wa nyumbani, lakini ushindi wowote utatusaidia uwe wa bao moja au zaidi kitu bora kwetu ni kuwanyima njia ya kuanzia kwao.”