ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Duu Kwa matusi haya inafaa afutwe kazi akafundishe huko kwenye Ligi imara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu Kwa matusi haya inafaa afutwe kazi akafundishe huko kwenye Ligi imara 👇👇
View: https://x.com/umoja_digital/status/1881277046699196475?t=KpT90YitGH_IPqkNPa7dQA&s=19
JanaHii interview ya lini?
Match za yanga ndio zinakuwa rahisi
Hii interview ya lini?
Basi ni mpumbavu huyo, udhaifu wa League anaupimaje wakati washindani wao walikuja kulinda matokeo badala ya kucheza?Jana
Yote wameyataka viongozi wetu,Gamondi ile mechi hawezi kuanza vile.
Yanga na Simba wote ni mbelekoNi dhaifu kwa sababu yanga mechi zao wanatafuniwa akicheza na prisons,dodoma jiji,sijui kagera wanamimina tu magori mpaka ya mkono wanashangilia meno njee kazi zishafanyika nje ya uwanja zikija mechi za simba ndo izo timu kama prisons zinakamia mno na simba kisa ahadi za motisha ya mamilioni unakuta simba wanashinda kwa mbinde au suluhu zikija mechi kubwa simba wanajua pa kutokea mc alger na costantine zote za algeria na costantine ndo anaongoza ligi ya algeria mbona simba kashinda licha ya ubora wa ligi yao.
Muongo yeye mwenyewe ndiye dhaifu bado hawezi kutambua uwezo binafsi wa wachezaji hasa Dube na Msonda, kwa maoni yangu Pacome yuko vizuri kuliko Msonda kwa maana hiyo ili kupata matokeo tarehe 18-01-2025 ilitakiwa aanze pacome
Kumbe simba inacheza ligi ya uhispania.
Gusa achia mwarabu robo fainali
Hao aliowafunga ni Timu za kutoka Ligi dhaifuAmewafunga mazembe hakusema,akawafunga Al hilal akakaa kimya katoa droo,kashajamba kwenye maji.MPUUZI MMOJA.
Huyu hataki kaziHao aliowafunga ni Timu dhaifu