Kocha Ramovic: Ligi Kuu Tanzania ni Dhaifu Ndio Maana Yanga Imetolewa

Kocha Ramovic: Ligi Kuu Tanzania ni Dhaifu Ndio Maana Yanga Imetolewa

Duu Kwa matusi haya inafaa afutwe kazi akafundishe huko kwenye Ligi imara


View attachment 3207260
Yanga yetu imetolewa kwa sababu zifuatazo:
1.ni kweli kocha hana ujuzi wala mbinu za kushinda
2.yanga haina wachezaji wenye mbinu ya kushambulia,ukimbana azizi k umetumaliza
3.hatuna wanachama ambao wapo tayari kujaza uwanja na kuipigania timu
 
Back
Top Bottom