Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Jan 20, 2025 #21 kwa hili kama ni kweli basi ameishiwa mbinu.
F FUSO JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 34,181 Reaction score 41,563 Jan 20, 2025 #22 Tabora United ni dhaifu eee!!
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Jan 20, 2025 #23 ChoiceVariable said: Duu Kwa matusi haya inafaa afutwe kazi akafundishe huko kwenye Ligi imara View attachment 3207260 Click to expand... Yanga yetu imetolewa kwa sababu zifuatazo: 1.ni kweli kocha hana ujuzi wala mbinu za kushinda 2.yanga haina wachezaji wenye mbinu ya kushambulia,ukimbana azizi k umetumaliza 3.hatuna wanachama ambao wapo tayari kujaza uwanja na kuipigania timu
ChoiceVariable said: Duu Kwa matusi haya inafaa afutwe kazi akafundishe huko kwenye Ligi imara View attachment 3207260 Click to expand... Yanga yetu imetolewa kwa sababu zifuatazo: 1.ni kweli kocha hana ujuzi wala mbinu za kushinda 2.yanga haina wachezaji wenye mbinu ya kushambulia,ukimbana azizi k umetumaliza 3.hatuna wanachama ambao wapo tayari kujaza uwanja na kuipigania timu
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Jan 20, 2025 #24 King Jody said: Huyu nae amekuwa mropokaji mapema sana Click to expand... Haioni inavyocheza Simba SC, swali je Simba inacheza ligi ya Algeria ama Morocco?
King Jody said: Huyu nae amekuwa mropokaji mapema sana Click to expand... Haioni inavyocheza Simba SC, swali je Simba inacheza ligi ya Algeria ama Morocco?