Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hahahahaaa! Let them be!Watabadili ushabiki hadi watabadili na makabila yao.They are of the calibers! The highest class of hypocrites!Judas!Hahahahaa, kazi walikua nayo jana. Ila yanga wanafki sana, siku hizi kuna kikundi kinakaaga ule upande wao wa kusini pale taifa wameibuka na style ya kuja na bendera ya Congo kuonesha support yao kwa Vita
the Legend☆
Hahaa, Kazi wanayo safari hiiHahahahaaa! Let them be!Watabadili ushabiki hadi watabadili na makabila yao.They are of the calibers! The highest class of hypocrites!Judas!
Ukiwatajia..."Kageeeereeee"...!Wanaanza kukapua macho kama unawanywesha uji wa moto!HahahahaaaHahaa, Kazi wanayo safari hii
the Legend☆
[emoji23][emoji23][emoji23]hawampendi balaa. Na huyo kagere anavyojua kuwakera sasa, mara ateteme, mara atafute mpira nyavuni, mara apepee kama kipepeo. HahahaaUkiwatajia..."Kageeeereeee"...!Wanaanza kukapua macho kama unawanywesha uji wa moto!Hahahahaaa
Jamaa wanapata masumbuko sana safari hii.Ila ile mechi tuliyopiga nao taifa Ime wasukumasukuma sana.Naona malumbano yamefifia sasa.Halafu hawana shukrani hawa![emoji23][emoji23][emoji23]hawampendi balaa. Na huyo kagere anavyojua kuwakera sasa, mara ateteme, mara atafute mpira nyavuni, mara apepee kama kipepeo. Hahahaa
the Legend☆
Hicho ni kikundi cha wahuni tu kimejikusanya na kikanunua jezi pale mtaa kongo na kuvaaHivi timu kama simba hata wakafundishwa na sir Alex f. inaweza kuchukua ubingwa wa Africa?
Hiyo ndo maana kamili ya timu ya wananchi, hao wanaoichangia ni wananchi wenye mapenzi mema na timu yao na ndio maana timu inapachika tu magoli na mpaka sasa ndo inayoongoza ligiYanga ni timu? Timu gani ya kupitisha bakuli kuomba omba mpaka nauli, achilia mbali mishahara
the Legend☆
Usibishane na hao waliishaitwa mbumbumbu na kiongozi wao, wazee wa hamsa hamsaHiyo ndo maana kamili ya timu ya wananchi, hao wanaoichangia ni wananchi wenye mapenzi mema na timu yao na ndio maana timu inapachika tu magoli na mpaka sasa ndo inayoongoza ligi
Mkuu dawa na hawa mambumbumbu ni kuwaambia ukweli ili angalau umbumbumbu huwatoke lasivyo tukiwaacha wataelekea stage nyingine ya kuwa misukule ambayo ni mbaya zaidiUsibishane na hao waliishaitwa mbumbumbu na kiongozi wao, wazee wa hamsa hamsa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema vyema kwamba 'mpaka sasa' bado mnaongoza ligi, ikimaanisha unajua fika ni suala tu la muda kabla ya kutoka hapo. Kingine lazima mkubali huo mfumo wa uendeshaji mnaoendelea nao sahivi hautawafkisha popote, na mtasubiri sana kuja kupata tena mafanikio. Simba sahivi inaendeshwa kisasa, kama ilivyo kwa klabu nyingi kubwa duniani, na mfumo unaojengwa ni endelevu na ambao unatuhakikishia mafanikio ya mda mrefu. Jikubalini kua mna hali mbasha, kisha jaribuni kubadilisha mfumo mzima wa uendeshajiHiyo ndo maana kamili ya timu ya wananchi, hao wanaoichangia ni wananchi wenye mapenzi mema na timu yao na ndio maana timu inapachika tu magoli na mpaka sasa ndo inayoongoza ligi
Mpaka sasa yanga ni mabingwa mara 27 na mara zote hizo huo ubingwa waliupata wakiwa katika huo mfumo wa sasaUmesema vyema kwamba 'mpaka sasa' bado mnaongoza ligi, ikimaanisha unajua fika ni suala tu la muda kabla ya kutoka hapo. Kingine lazima mkubali huo mfumo wa uendeshaji mnaoendelea nao sahivi hautawafkisha popote, na mtasubiri sana kuja kupata tena mafanikio. Simba sahivi inaendeshwa kisasa, kama ilivyo kwa klabu nyingi kubwa duniani, na mfumo unaojengwa ni endelevu na ambao unatuhakikishia mafanikio ya mda mrefu. Jikubalini kua mna hali mbasha, kisha jaribuni kubadilisha mfumo mzima wa uendeshaji
the Legend☆
kutokana na fitna za soka la bongo hiyo haishangazi. ila malengo ya Simba mpya sio tuu kupata mafanikio ya ndani, bali ni pamoja na kua ni moja ya miamba ya soka barani Afrika. Yes we canMpaka sasa yanga ni mabingwa mara 27 na mara zote hizo huo ubingwa waliupata wakiwa katika huo mfumo wa sasa
Kwahyo unataka kusema yanga kuwa bingwa mara 27 ni kutokana na fitna za bongo? Nyie ni wahapa hapa ndani tu mkitoka ni aibu kubwa mnapatakutokana na fitna za soka la bongo hiyo haishangazi. ila malengo ya Simba mpya sio tuu kupata mafanikio ya ndani, bali ni pamoja na kua ni moja ya miamba ya soka barani Afrika. Yes we can
the Legend☆
Simba kua on the verge of reaching the QF (last 8) of the biggest club competition in Africa ni aibu? You can't be serious mkuuKwahyo unataka kusema yanga kuwa bingwa mara 27 ni kutokana na fitna za bongo? Nyie ni wahapa hapa ndani tu mkitoka ni aibu kubwa mnapata