Umesema vyema kwamba 'mpaka sasa' bado mnaongoza ligi, ikimaanisha unajua fika ni suala tu la muda kabla ya kutoka hapo. Kingine lazima mkubali huo mfumo wa uendeshaji mnaoendelea nao sahivi hautawafkisha popote, na mtasubiri sana kuja kupata tena mafanikio. Simba sahivi inaendeshwa kisasa, kama ilivyo kwa klabu nyingi kubwa duniani, na mfumo unaojengwa ni endelevu na ambao unatuhakikishia mafanikio ya mda mrefu. Jikubalini kua mna hali mbasha, kisha jaribuni kubadilisha mfumo mzima wa uendeshaji
the Legend☆