Kocha Rashid Mahadhi amefariki dunia ikiwa ni muda mfupi baada ya timu yake ya Abajalo kupoteza mechi

Kocha Rashid Mahadhi amefariki dunia ikiwa ni muda mfupi baada ya timu yake ya Abajalo kupoteza mechi

sipatipicha kama CONTE angekuwa anakaa kimya huyu SIMEONI naye angekuwa anakaakimya sijui ingekuwaje duuu so sad
 
U " kocha " ni kazi ngumu kuliko zote Duniani, tazama Wenger ambavyo hanenepi !!!!!
 
Siamini kama kichapo cha goli 3-0 kitaondoka na maisha ya MTU ambae amewahi hata kuucheza Mpira mwenyewe professionally na hata kuwa na taaluma ya ukocha, na zaidi akifanya kazi na Abdallah King Kibadeni, . Katika maisha yao ya kisoka, ni Mara ngapi wamefungwa goli kama hizo? Au zaidi ya hizo? Kwa nini asife toka miaka hiyo? Kwa nini afe kwenye mechi ya mchangani isiyokuwa na ubingwa wala fedha yeyote? Tajeni sababu nyingi be ya kifo chake lakini si kipigo cha goli 3. Labda hiyo hypertension inakubalika but not goli 3. Innah lillahi wainnah illahi rajiuni
He was a known case of htn with h/o stroke .....so possibly stress as a result of difficulties encountered during the match which lead to high Bp hence stroke and finally death .....Rip .
 
Back
Top Bottom