Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Eeh bana eeeh Robetihno alikuwa mtu na nusu amecheza sana uwanja mkubwa Duniani wa Maracana. Mwamba akivaa jezi no 7 alikiwasha sana.
Huyu mwamba ndiomana hanaga pressure na haogopi kucheza na timu yoyote.
Simba SC imepata bonge la Mwamba katika soka.
Wanaobisha YouTube ipo inakutoa knockout.
Robetihno Oliviera fundi ni zaidi ya Mtu na nusu.
Kocha mzuka Simba nguvu moya
Wadiz