🤣🤣🤣🤣Kibu D ananguvu, Kasi na maarifa ya kufunga, kocha anataka kutupigisha shoti.
Feitoto njia nyeupe SIMBA!
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine.
[emoji843] Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka wazi kuwa ili atimize malengo yake anahitaji mshambuliaji mwingine wa kusaidiana na waliopo.
[emoji2788]“Aina ya mshambuliaji ninayemtaka ni mwenye nguvu, kasi na maarifa ya kufunga,” amesema Roberthinho baada ya kumaliza mazoezi ya leo asubuhi.
Feitoto anacheza nafasi ya Chama, sijui kama hata mpira mnaujuwa vizuri.Feitoto njia nyeupe SIMBA!
Mtampa kweli wa huko mikoa ya nyuma?Tutampa Aseme lingine
Yupo Kibu na Kiyombo.
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine.
🔹 Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka wazi kuwa ili atimize malengo yake anahitaji mshambuliaji mwingine wa kusaidiana na waliopo.
🗣️“Aina ya mshambuliaji ninayemtaka ni mwenye nguvu, kasi na maarifa ya kufunga,” amesema Roberthinho baada ya kumaliza mazoezi ya leo asubuhi.
Yaani jamaa anaona kabisa nafasi inayotakiwa ni mshambuliaji lakini kakomaa na Feisal kwenda Simba sababu ya kocha kutamka kumtaka mshambuliaji. Sasa sijui Feisal lini kawa forwardFeitoto anacheza nafasi ya Chama, sijui kama hata mpira mnaujuwa vizuri.
Kumbe feitoto ni mshambuliaji?Feitoto njia nyeupe SIMBA!
hahahahahaFeitoto njia nyeupe SIMBA!
Vyote anavyo kasoro maarifaKibu D ananguvu, Kasi na maarifa ya kufunga, kocha anataka kutupigisha shoti.
hahahaha,dah aibu nimeonaKumbe feitoto ni mshambuliaji?
acha ushamba weweFeitoto njia nyeupe SIMBA!
acha ushamba weweFeitoto njia nyeupe SIMBA!
NimeipataMwenye ratiba ya mechi za kirafiki Dubai aweke tafadhali