Kocha Selemani Matola anaoa kesho


Full Kosi Lenyewe lilikuwa kama ifuatavyo;


1. Mohamed Mwameja
2. Kasongo Athuman Mgaya
3. Twaha Hamidu
4. Godwin Aswile Mlimba
5. George Magere Masatu
6. Leny Ramadhani
7. Abdul Mashine
8. Hussein Amaan Marsha
9. Edward Chumila
10. Malota Soma 'Ball Jugler'
11. Uncle Tom Kipese

Siku yenyewe tukiwa bado wadogo, tulichaji betri pale kijijini petu kwa kuzianika juani kwenye kichanja. Tukavizia baada ya taarifa ya habari kutoka RTD wanajiunga na uwanja wa taifa na wakati huo hiyo aviacoa ilikuwa kwenye kiwango cha juu kupita maelezo. Simba ktk ubora wake huwa haishindwi kitu.
 
I see,sahihi kabisa kwa hiyo list...ilikuwa list nzuri sana katika maisha ya Simba toka niifahamu Simba.tena kuna mmoja alikosa goli la wazi wakiwa kule ivory cost alikuwa anaanza au anaingia badala ya Abdul Mashine.Ila Kasongo Athuman alikuwa kisiki si mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…