Za ndaaani kabisa!!, Robartihno anashindwa kusema, wacha tumsemee. Mfumo wake unakosana na mchezaji anaekaa na mpira kwa muda akitafuta nani ampe na wapi aupige. Ingawa Chama ni mchezaji mzuri sana lakini makocha hata wale wa Uarabuni hawapendi aina yake ya uchezaji katika mpira wa kisasa wa kukabia juu (high pressing)Hizi ni za Ndani?
Ulikaa naye wapi akakutonya huu umbea? Mwanaume kuwa mbea haipendezi,ila kama wewe ni ke nisamehe bureMfumo wa Robartinho hautaki uchezaji wa aina Clatous Chama na Moses Phili. Chama anafunga kwa kutumia juhudi zake binafsi sio mfumo wa Robertihno. Kocha anataka mpira wa kasi tofauti na chama na phili wanavyocheza. Kocha Simba ana kaa la moto kifuani kwako ambalo hajui afanye nini, na anashindwa kusema mbele ya uongozi na mashabiki wa timu.
Ingawa simba inashinda lakini kocha hayuko happy kabisa na Chama na hata matokeo. Kocha analazimika kufuata mfumo wa Chama na mashabiki na sio chama na mashabiki kufuata mfumo wa kocha.
Lakini anafunga et ee?Chama huyo anacheza sana na mashabiki na ndio maana anapenda kukaa na mpira muda mrefu hadi wakati mwingine ananyang'anywa na ndio maana hawezi kuchezea timu kubwa kubwa.
Ana ubishoo mwingi sana ili mashabiki wamsifie, baada ya Simba hawezi tena kuchezea timu yoyote ya maana.
Naunga mkono hojaChama huyo anacheza sana na mashabiki na ndio maana anapenda kukaa na mpira muda mrefu hadi wakati mwingine ananyang'anywa na ndio maana hawezi kuchezea timu kubwa kubwa.
Ana ubishoo mwingi sana ili mashabiki wamsifie, baada ya Simba hawezi tena kuchezea timu yoyote ya maana.
Tuonyeshe walau missed call ya Robertinho kwakoIngawa simba inashinda lakini kocha hayuko happy kabisa na Chama na hata matokeo.
Nyuma mwiko wanapokuwa wataalamu wa Simba kuliko hata Simba wenyewe.Ndio utajua wavimbiwa mihogo hawana cha maana cha kufikiri bali kuwa makuwadi wa kuisemea Simba.Mwiko nyuma wacheni unafiki.Simba haiwahusu.Ki asili Robertinho anapenda mpira wa Nguvu na kasi wenye ufundi kiasi waangalie Vipers na timu zote alizo wahi kufundisha.
Anapenda kukaba kwa nguvu na kushambulia kwa haraka, Bahati mbaya inabidi amchezeshe Chama au Ngoma kwakua hana namna ila niwachezaji ambao hawaendani na anacho kiamini.
Namwelewa Robertinho kwakua ao wachezaji walishindwa kucheza kule kwa waarabu ambao wao wanapenda mpira wenye kasi nguvu kiasi na ufundi ila kasi ni lazima.
Robertinho anampenda Kibu, Muzamiru, Kanute kwakua wana kasi na Nguvu isipokua wana ufundi kwa kiasi kidogo.
Kwasasa anavumilia kwakua maboss wake ndivyo wanavyo taka.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app