Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifo kitawafichua, ni muda TU.Nyuma mwiko wanapokuwa wataalamu wa Simba kuliko hata Simba wenyewe.Ndio utajua wavimbiwa mihogo hawana cha maana cha kufikiri bali kuwa makuwadi wa kuisemea Simba.Mwiko nyuma wacheni unafiki.Simba haiwahusu.
Kwa hiyo unatuthibitishia kuwa utopolo ni timu ndogo, maana kila msimu mitandao inajaa habari za Chama kuachana na Simba kwenda YangaChama huyo anacheza sana na mashabiki na ndio maana anapenda kukaa na mpira muda mrefu hadi wakati mwingine ananyang'anywa na ndio maana hawezi kuchezea timu kubwa kubwa.
Ana ubishoo mwingi sana ili mashabiki wamsifie, baada ya Simba hawezi tena kuchezea timu yoyote ya maana.
Yaani uamke na pombe kichwani halafu eti utuambie una mawasiliano na Robertinho, sisi ni wajinga hadi tukuamini?Akili huna? Watoa taarifa wanalindwaje?
Mbona unateseka sana na Simba kuliko hata timu yako?Kifo kitatufichua?Ni semi za kijinga zisizo na mashiko.Hii bidii unaoioyesha kwa Simba na kujaribu kutatua matatizo ya Simba ungeilekeza kwenye timu yako.Simba haina haja ya ushauri wako wa kijinga.Usijipotezee muda.Kifo kitawafichua, ni muda TU.
Una uhakika? Hata kadi ya Simba huna mshabiki oyaoyaMbona unateseka sana na Simba kuliko hata timu yako?Kifo kitatufichua?Ni semi za kijinga zisizo na mashiko.Hii bidii unaoioyesha kwa Simba na kujaribu kutatua matatizo ya Simba ungeilekeza kwenye timu yako.Simba haina haja ya ushauri wako wa kijinga.Usijipotezee muda.
Leo coastal kocha ni zahera, sio mgunda shabiki wa Simba. Chini ya Medol Simba ilikuwa inapata shida kuliko chini ya mgunda.Chama huyo anacheza sana na mashabiki na ndio maana anapenda kukaa na mpira muda mrefu hadi wakati mwingine ananyang'anywa na ndio maana hawezi kuchezea timu kubwa kubwa.
Ana ubishoo mwingi sana ili mashabiki wamsifie, baada ya Simba hawezi tena kuchezea timu yoyote ya maana.
Huko utopoloni kila dirisha la usajili likifunguliwa wanamsajili CCC ila msimu ukianza mwamba anachezea SIMBA SCChama huyo anacheza sana na mashabiki na ndio maana anapenda kukaa na mpira muda mrefu hadi wakati mwingine ananyang'anywa na ndio maana hawezi kuchezea timu kubwa kubwa.
Ana ubishoo mwingi sana ili mashabiki wamsifie, baada ya Simba hawezi tena kuchezea timu yoyote ya maana.
Umeuliza swali kweli?Elimu ya UPE ina matatizo yake.Anachezea Simba na kukosa makombe yote, Kuna ubaya gani hapo?
Na kweli leo Simba wamepata shida sana.Ujinga nao ni kipaji.Leo coastal kocha ni zahera, sio mgunda shabiki wa Simba. Chini ya Medol Simba ilikuwa inapata shida kuliko chini ya mgunda.
Acha kuwa mtabiri tambi tambi, ligi bado mbichi hii. Tulia utaumbuka.ule nao ni mpira, maiti!! kwa mpira ule yajayo yanafurahisha.
Umebakia kuwa Sheikh Yahya wa mchongo.Hakuna ligi ya wajinga.Ndio maana kuna magoli. Wewe endelea na utabiri wako.Vipi Mwinyi Zahera hajambo?ule nao ni mpira, maiti!! kwa mpira ule yajayo yanafurahisha.
Leo sio kocha wakati alikuwa kocha wenu na kuwasaidia hata kununua mihogo.Kweli nyuma mwiko hamna shukurani.Bajeti ingekuwa inacheza mpira Man United asingefungwa na Brighton.Booo! yule nae kocha? timu ile ina bejeti ndogo sana