sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
CC. sembo (Kumbuka maneno yangu).
Mkuu Kocha wa Toto African, Kabwaga manyanga jana.. Na hii ni baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya Mgambo JKT.. sababu bado haijajulikana.
Huku Kocha mwenye leseni ya juu kabisa toka UEFA akiendelea kupeta.
Utabiri wako kwa mara nyingine umefail.
Last edited by a moderator: