sembo JF-Expert Member Joined May 25, 2011 Posts 4,350 Reaction score 3,451 Oct 29, 2015 #21 Makoye Matale said: CC. sembo (Kumbuka maneno yangu). Click to expand... Mkuu Kocha wa Toto African, Kabwaga manyanga jana.. Na hii ni baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya Mgambo JKT.. sababu bado haijajulikana. Huku Kocha mwenye leseni ya juu kabisa toka UEFA akiendelea kupeta. Utabiri wako kwa mara nyingine umefail. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Makoye Matale said: CC. sembo (Kumbuka maneno yangu). Click to expand... Mkuu Kocha wa Toto African, Kabwaga manyanga jana.. Na hii ni baada ya timu yake kuibuka na ushindi dhidi ya Mgambo JKT.. sababu bado haijajulikana. Huku Kocha mwenye leseni ya juu kabisa toka UEFA akiendelea kupeta. Utabiri wako kwa mara nyingine umefail.