Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.
Pole sana najua unaugulia popote ulipo.Basi tuwaombe waamuzi wamrejeshe tena uwanjani, halafu tuone kama atafanya maajabu yoyote yale.
Uzuri kila mwenye macho ameona. Hebu fikiria, kijana mdogo tu wa miaka 24 anapiga hat trik kwenye mchezo wa fainali mbele ya mchezaji mkongwe kama Lionel Messi!!Pole sana najua unaugulia popote ulipo.
Na kweliSijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.
[/QUOT
Di maria hakua na match fitness alijihami kumuweka mtu ambae ni more defensive lakini nahisi alijilaumu baadae. Camavinga alikuja kubadili mchezo kwa kiasi kikubwa ufaransa walirudi mchezoni baada ya sub yake.
Messi kapiga mawili kwenye fainali akiwa na miaka 35 ndio habari kubwa.Uzuri kila mwenye macho ameona. Hebu fikiria, kijana mdogo tu wa miaka 24 anapiga hat trik kwenye mchezo wa fainali mbele ya mchezaji mkongwe kama Lionel Messi!!
shibe huleta majivunoSijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.