Kocha wa Argentina kafanya kosa kubwa sana kumtoa Dimaria

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina.

Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.
 
Wacha apigwe Argentina ni ngumu sana kuchukia hili kombe na kiatu tayar kachukua mbape
 
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.

wenge tu la kocha
 
Na kweli
 
[/QUOT
Di maria hakua na match fitness alijihami kumuweka mtu ambae ni more defensive lakini nahisi alijilaumu baadae. Camavinga alikuja kubadili mchezo kwa kiasi kikubwa ufaransa walirudi mchezoni baada ya sub yake.
 
Sijui nini kimemfanya kocha wa Argentina kumtoa Angel Dimaria mapema vile wakati yeye ndo alikuwa chachu kwa matokeo ya Argentina. Baada ya kumtoa tu Ufaranza wakaanza kufunguka na hatimae kurudisha goli zote 2.
shibe huleta majivuno
 
Back
Top Bottom