Kocha wa Argentina kafanya kosa kubwa sana kumtoa Dimaria

Kocha alifanya kosa kubwa sana la kiufundi kwangu mimi Di maria ndio alikuwa mchezaji bora uwanjani mpaka anatoka France wakikuwa hawajapiga shuti hata moja golini mwa Argentine na hii ni kwa sababu beki zilikuwa hazipandi zikihofia counter attack ya Mess na Di maria.
 
Di maria hatakiwi kuemo sana uwanjani, Tatizo lake jamaa anaupiga mwingi mno mpaka anamfunika Messi, Na tatizo la timu yao hatakiwi mtu yoyote kule mbele ang'are Zaidi kuliko Messi.
 
Vipi, amepata na kiatu cha dhahabu?
Poleni sana maana naona mnatafuta kichaka cha kujifichia. Hukuona golden ball pamoja na kombe aliloinua?

Mtu miaka 35 ana magoli 7 na wa miaka 23 ana magoli 8 huoni hapo yupi ni G.O.A.T wa ukweli?
 
Uzuri kila mwenye macho ameona. Hebu fikiria, kijana mdogo tu wa miaka 24 anapiga hat trik kwenye mchezo wa fainali mbele ya mchezaji mkongwe kama Lionel Messi!!

Nyie hamjui mpira, Mbappe tunamkubali sana lakini anahitaji jitihada beyond human limits, nidhamu, na muhimu kuliko yote kudra za Mungu kuweza kufika walau robo ya ambacho Messi na Ronaldo wameifanyia dunia ya mpira.

Mtu kama Messi kama ulibahatika kumuona wakati ana miaka 19, wakati anavaa jezi namba 30, baadae akavaa namba 19 long before hajaanza hata kuvaa namba 10, wakati anapiga hat trick mbele ya Madrid ilojaa wachezaji wakali wote ulokua unawajua, huwezi kumkweza Mbappe mapema hivi.

Mimi Messi nimeanza kumfuatilia game moja ya UEFA na Chelsea ilichezwa darajani, Chelsea ilikua na watu wana roho mbaya kuliko unavyoweza kudhania ila kijana miaka 19 alikua anaweza kutembea na mabeki hata wanne kwenye chaki na anafika anakokwenda fresh tuu, the rest ni historia.

Baada ya VAR kuwa introduced kwenye mpira na baada ya generation ya Messi na Ronaldo kupita, nitaacha rasmi kushabikia mpira, nitakua naangalia kama burudani halafu nitahamia tu UFC.
 
No problem, Mbape amechukua kiatu cha dhahabu! Na Messi amefanikiwa kuchukua kombe la dunia akiwa na miaka 35; huku Mbape akifanya hivyo na miaka 18 tu.
 
Back
Top Bottom