Kocha wa Azam anena haya kuhusu Yanga

Lkn yupo sahihi. Tangu msimu huu uanze, ni Mbeya city na Namungo pekee ndo hazijafungwa na Yanga. Simba aliliwa (Ngao ya jamii), Azam kachapwa nje ndani ligi kuu
Nafikiri anajaribu kuhalalisha kufungwa kwao ionekane tatizo halipo kwake ila timu ilizidiwa ubora na Utopolo.
 
Very possible
Yuko sahihi kabisa! Kwa mpira ule, unashindwaje kumpongeza mpinzani wako? Go go Yanga! Inawezekana kabisa kuchukua ubingwa msimu huu, huku tukiwa hatujapoteza hata mchezo mmoja.
 
Lkn yupo sahihi. Tangu msimu huu uanze, ni Mbeya city na Namungo pekee ndo hazijafungwa na Yanga. Simba aliliwa (Ngao ya jamii), Azam kachapwa nje ndani ligi kuu
Na simba pia walipata bahati ya sare kwenye mchezo wa awali.
 
We unamuamini huyo mchaga kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…