Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa ...siyo yule plumber wa upande wa 2 anayebana pua.Baada ya kocha wa Yanga anafuata huyo kwa ubora kwenye ligi ya NBC, kama kasema hivyo siwezi kumpinga sababu ni bora kweli.
Kabisa ...siyo yule plumber wa upande wa 2 anayebana pua.
Baada ya kocha wa Yanga anafuata huyo kwa ubora kwenye ligi ya NBC, kama kasema hivyo siwezi kumpinga sababu ni bora kweli.
Yule hamna kitu aliwapiga fix makolo eti anajuana na Zidane akiishiwa mbinu anampigia simu.Kabisa ...siyo yule plumber wa upande wa 2 anayebana pua.
Yule hamna kitu aliwapiga fix makolo eti anajuana na Zidane akiishiwa mbinu anampigia simu.
Nafikiri anajaribu kuhalalisha kufungwa kwao ionekane tatizo halipo kwake ila timu ilizidiwa ubora na Utopolo.Ni mtazamo wake. Matusi yaelekezwe kwake. Mjumbe hauawiView attachment 2180558
Aisee!Utopolo haina ubora wowote Afrika hii.
Nafikiri anajaribu kuhalalisha kufungwa kwao ionekane tatizo halipo kwake ila timu ilizidiwa ubora na Utopolo.
Yuko sahihi kabisa! Kwa mpira ule, unashindwaje kumpongeza mpinzani wako? Go go Yanga! Inawezekana kabisa kuchukua ubingwa msimu huu, huku tukiwa hatujapoteza hata mchezo mmoja.
Na simba pia walipata bahati ya sare kwenye mchezo wa awali.Lkn yupo sahihi. Tangu msimu huu uanze, ni Mbeya city na Namungo pekee ndo hazijafungwa na Yanga. Simba aliliwa (Ngao ya jamii), Azam kachapwa nje ndani ligi kuu
Hamna kocha humu toka alipopewa mkataba amekuwa shamba la bibiNi mtazamo wake. Matusi yaelekezwe kwake. Mjumbe hauawiView attachment 2180558
Yule hamna kitu aliwapiga fix makolo eti anajuana na Zidane akiishiwa mbinu anampigia simu.
Tulishampigaga mtu 6 kwa 1 kwenye hatua hiyo