Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

Kocha wa Azam FC hawezi kupona kwa hii aibu.

Azam ana bonge la team msimu huu ila kocha wamemchukua wa mafungu ya bamia
 
Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
APR siyo Vitaro au Zalan ndugu.
 
APR hii hii ya Rwanda? Au mpira mmeuanzia lini. Hao Yanga na Simba wanaiheshimu sana hiyo timu ya wajeshi. Uliza Vizuri
 
Hao azam sababu wana media basi wanajibrand na kubrag na wao ni level za Simba & yanga
UHALISIA HAO WAPO KATIKATI YA LEVEL ZA SIMBA YANGA NA MTIBWA NA KINA NAMUNGO
 
Back
Top Bottom