Dabo si kocha mkuuKwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
APR siyo Vitaro au Zalan ndugu.Kwa uwekezaji na usajili walioufanya Azam fc halafu wanatolewa round ya kwanza kwenye klabu bingwa ya Africa, Dabo ameonyesha madhaifu makubwa kupigwa 2-0 na Apr ya Rwanda.
Bora Namungokwani APR unawachukuliaje?
Ikicheza na Simba ni vibonde etikwani APR unawachukuliaje?
Dabo ni kocha mkuu kiutendaji ila kwenye makaratasi ni kocha msaidiziDabo si kocha mkuu