rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha.
Jambo Kama hili wengi walilitegemea kutokana na uwekezaji uliofanywa na matokeo wanayopata.
Mtazamo wangu binafsi sio kocha peke yake ndio chanzo cha kufanya vibaya lakini uongozi pia ulichangiwa pakubwa kwani msimu uliopita Azam FC walikuwa na timu nzuri lakini badala ya kuziba mapengo machache kwanza wakauza silaha muhimu ka Kipre Junior na pia wakasajili wachezaji wengi bila kuangalia nahitaji ya timu.
Wanatakiwa waiangalie menejimenti kwa jicho la tatu na pia ikiwezrkana wachukue watu kutoka nchi Kama Morocco ambao eamebobea kwenye maswala ya uendeshaji timu