Tetesi: Kocha wa Azam keshapewa thank you

Tetesi: Kocha wa Azam keshapewa thank you

Azam wasiishie kumfukuza Kocha na benchi lake la ufundi, afukuzwe Mtendaji Mkuu wa Azam FC
 
Sasa kama Ile siku ya Fainali ya Ngao ya hisani mwamba kaanza na mfumo wa 3-4-3 kwanini asichezee nyingi Kwa timu kama Yanga yenye wachezaji wanaoanzisha Pasi za haraka na kupiga krosi au kutumia mabeki wa pembeni wanao-act kama mawinga, Left wing back LWB...
Wabongo na hizo Chambuzo zenu huwa Mnanishangaza sana. Mnavyomsakama kwa huo mfumo wa mnasahau kabisa kwamba wakiwa katika mfumo huohuo Azak ndiyo walikuwa wa kwanza kupata goli.
Ifike wakati mkubali tu uwezo wa timu.
Mnataka kutwambia kwa kuwa timu nyingi zinatumia mfumo mnaoupendekeza basi tutarajie sare kuwa zaidi ya 80% ya mechi zote?
 
Back
Top Bottom