rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Sana SanaMpaka ligi iishe tutaona mengi...
Kama teuzi za wanasiasa mkuuUkocha ndio Kazi isiyo na uhakika wa kukikalia kiti siku ya pili timu ikifungwa
Kila la kheir..... hizo Chapati 3 ukashushie na azam embe hahaNikaombe kaz pale sasa
ewaaaaKila la kheir..... hizo Chapati 3 ukashushie na azam embe haha
Azam ya mwaka huu ni mbovu kuliko Simba ya mwaka jana..Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha.
Jambo Kama hili wengi walilitegemea kutokana na uwekezaji uliofanywa na matokeo wanayopata.
Mtazamo wangu binafsi sio kocha peke yake ndio chanzo cha kufanya vibaya lakini uongozi pia ulichangiwa pakubwa kwani msimu uliopita Azam FC walikuwa na timu nzuri lakini badala ya kuziba mapengo machache kwanza wakauza silaha muhimu ka Kipre Junior na pia wakasajili wachezaji wengi bila kuangalia nahitaji ya timu.
Wanatakiwa waiangalie menejimenti kwa jicho la tatu na pia ikiwezrkana wachukue watu kutoka nchi Kama Morocco ambao eamebobea kwenye maswala ya uendeshaji timu
Wamechelewa but na benchinla ufundi pia, football directors na team ya usaili.Tayari Azam wameshaachana na kocha wao na benchi la UFUNDI kutokana na matokeo yadiyoridhisha.